Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sawa mkuu!hapa tunadanganyana huwezi kutumikia mabwana wawili kwa maana kama ukiamini kuajiriwa ni utumwa basi ni mlengo wa wale wanataka kutafuta mali kwa jitihada ili wawe matajiri lakini yale uliyoyataja baadae kama vipengele sio sifa za wasaka mali bali ni sifa za wanaharakati na ambao hawawezi kuwa matajiri. pambanua vizuri malengo yako