Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

sijuhi kama kuna kitu kinaitwa kuchelewa, ingawa leo ndio nauona uzi huu naomba kuunganishwa,
0717801086
 
Jambo la maana mkuu lakini hapo kwenye tittle kunatia ukakasi, kwa maelezo thread inaashiria economic vision lakini title inaashiria beyond that mpaka imetutia hofu
 
Bado mnaunganisha watu maana ndo nimeona huu uzi
 
Mimi Pia nahitaj. Nilikua mwalim nikaacha. Kwasasa ni Mountain Guide, Kilimanjaro ila na hapo nina mpango wa kuacha nijitupe shamban. Nmeshaanza kuandaa shamba na nataka niende na nyanya pamoja Na vitunguu. Kwasasa naish mosh kama yupo member yesterday maeneo haya tunaweza fahamiana tukaimarisha ubrother hood.
 
wazo lako ni zuri naunga mkono. ila kwanini iwe kama freemoson? kuwa umoja wa siri kunaambatana na mambo ya siri, mason wana mitambiko.
 
Badili title ili kuwaondoa hofu members kwa Mara ya kwanza huu niliupita
 
uko sawa mkuu!
 
Duuu......secret society tumesheheni. Endeleeni kujiunga, tunawakaribisha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…