Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

LebronWade.

Www.kcd.co.tz lengo lake ni kufungua miradi na saccos haina uhusiano na maswala ya secret.

Kunatatizo hapo?

Unless sijakuelewa.
 
LebronWade.

Www.kcd.co.tz lengo lake ni kufungua miradi na saccos haina uhusiano na maswala ya secret.

Kunatatizo hapo?

Unless sijakuelewa.

Basi kulikua hakuna haja ya kuweka hoja ya kcd.co.tz hapo...is as if watu wanatafuta wateja...hoja ni secret society ya form kama ya freemanson,sio vyama vya kuchangishana...
 
nawashukuruni nyote mlioitikia wito. kwa kujuana tu tumepiga hatua kubwa sana. bahati mbaya sina smartphone kwa hiyo siko watsup. kwahiyo homework yetu ya kwanza ni kufigure out jinsi ya kuwasiliana.

kama hauna smartphone naamini unatumia pc
kwa msaada dounload watsapp or pc
 
Hii sio secret society..hii ni business partnership...mnasukumwa na kutafuta hela,mkishapata hela then whaaat?mtaridhika na chama kitafufa!...mnaendeshwa na mihemuko ya hela,wrong motives.....motives ziwe beyond "hela"...freemansory ni fratenity,sio business partnership,na infact business prtnerships zinafunguliwa kwa jazba/mihemko ya njaa/kipato,na 100% yake hua zitakufa tuu njaa ikiisha.....

Fratenity zinaseek to unlock unlimited inner potential,na monetary wealth ni byproduct...wanaseek kucontrol the world,na money ni kasehem kdogo tu...ni kama dini vile,tena wanadai dini ni kitu kidogo compared to this...ni accult...na mara nyingi wanaoingia tayari wana mafanikio,wanatafuta self inner free being...hapa naona ni njaa tu ya vibiashara then hela ikipatikana chama kinakufa,sijaona purpose hasa
Mkuu nini kifanyike ili hili kundi liwe kama la hao freemasons?
Nalog off
 
mi huamini watu wenye idea zinazofanana wakifanya kitu kinakuwa kikubwa sana. ningependa member tuwe na sifa suatazo.
1. asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada zinazoonekana kujitoa huko. aamini kuajiriwa ni utumwa na binadamu hakuumbwa kuishi kwa kuajiriwa na imani hii isitokane na yeye kukosa ajira.

2.aamini kutoka moyoni kwamba ardhi ni mali na utajiri wote hutoka huko.

3.awe mtu honest na wakuaminika

4.asiwe mtu wa kujihusisha na rushwa

5.awe mtu aliyetayari kusimama upande wwa haki no matter what.
lengo laa society ni kuboresha maisha yetu na ya vizazi vyetu.
wenye sifa mnakaribishwa.

Nipo hapa mkuu....sifa zote zilizotajwa ninazo naomba niwemo.
 
kuwe na ngazi mbalimbali madaraja na kukutana iwe usiku mkali.Na ukijitoa upotezwe.

hahahah washawasha swali lako!!!!

Je? Kitengo cha kupoteza watu(usalama) nao wanatakiwa wawe wanachama au wawe wakukodi ili kutimiza mauaji hayo.
Nalog off
 
Wakati naandika huu uzi nilikuwa na wazo kwamba ni vizuri watu wenye mawazo yanayofanana tukafahamiana. Mfano kazi yako, ulipo, jinsi, umri , elimu, professionals n.k. na data za kila mwana socieyt zikawa available kwa wote. Hii itasaidia sana, mfano mtu ukitaka mtu wa kuptner naye kwenye ufugaji wa kuku unachagua utaye ona anakufaa kutoka ndani ya society. Au ukiwa unatafuta mfanyabiashara unaangalia profile ya mtu na mnaanza mchakato. Inakuwa kama bamboo network. Bamboo network ni mkusanyiko wa wajasiriamali wa kichina ambao hushirikiana kwenye biashara. Mtandao huu umedominate sana biashara south east Asia.

Pia baadae tukijuana vizuri tunaweza tukawa tunajiunga na kununua ardhi na kuwekeza. Hii itatusaidia sana .kwanza tukiwa kikundi itakuwa rahisi kupata ardhi kuliko mtu mmoja mmoja. Pia wana society kwavile tunatoka sehemu mbalimbali na tunataarifa tofauti kuhusu ardhi itatusaidia kupata ardhi bora, kwa bei nzuri na tutaitumia vizuri zaidi.

kwa sasa siko katika position ya kuorganise ila naona kuna memba hapa Akohi anaweza hii shughuli. Tumuombe atuorganise. Hii kitu hadi ije ipate muelekeo itahitaji kazi kubwa na na uvumilivu mwingi. Lakini kwa vile tunaunganishwa na mawazo yanayoendana hamna kikwazo kitakuwa kikubwa kutushinda. Msingi wetu ni kuwa na mawazo yanayofanana maswala ya kuchangishana pesa yatakuja baadae na itakuwa kwa wanaotaka. Motto wa Mossad unasema "Where no counsel is, the people fall, but in the multitude of counselors there is safety."
 
Je? Kitengo cha kupoteza watu(usalama) nao wanatakiwa wawe wanachama au wawe wakukodi ili kutimiza mauaji hayo.
Nalog off
hao inabidi wawe wa kukodi. Ikitokea ni mwanasociety akikosea yeye nani atamterminate?. Guys, we are just joking, nobody will get killed.
 
Hii sio secret society..hii ni business partnership...mnasukumwa na kutafuta hela,mkishapata hela then whaaat?mtaridhika na chama kitafufa!...mnaendeshwa na mihemuko ya hela,wrong motives.....motives ziwe beyond "hela"...freemansory ni fratenity,sio business partnership,na infact business prtnerships zinafunguliwa kwa jazba/mihemko ya njaa/kipato,na 100% yake hua zitakufa tuu njaa ikiisha.....

Fratenity zinaseek to unlock unlimited inner potential,na monetary wealth ni byproduct...wanaseek kucontrol the world,na money ni kasehem kdogo tu...ni kama dini vile,tena wanadai dini ni kitu kidogo compared to this...ni accult...na mara nyingi wanaoingia tayari wana mafanikio,wanatafuta self inner free being...hapa naona ni njaa tu ya vibiashara then hela ikipatikana chama kinakufa,sijaona purpose hasa
kwanza motive ya kitu sio kutoa njaa ndiyo maana hatutaki mtu ajiunge kwa sababu amekosa ajira bali awe na nia ya kutake his destiny in his hands (chajusong). pili swala la kuchangisha pesa sio lengo kuu, vikundi vingi hufa sababu watu wanatanguliza pesa badala ya common interests. sisi tunatanguliza common interest (ardhi na kujiajiri). tatu tunataka hadi wazao wetu waje kufaidika so no way njaa yetu itaisha. pia sio kwamba kitakuwa kitu centralized bali member to member patnership ndiyo itakuwa encouraged zaidi. centralized and complex societies are prone to failure.
 
Ingekuwa vyema na sharti kama kwenye hio Whatsapp group watu wanaandika biashara Yao kwenye status na picha zao halisi. Mfano utinotino itakua na status ya shamba vitunguu, samaki etc na inakua sheria ya hii society kuwa mtu akitaka kununua kitu au kuuza priority ya kwanza ni kwa members of society
hili ni jambo la muhimu sana, wanachama kujuana kiundani. kama unaweza kuanza kuorganise group au bwana mshinyanga hapo juu tutashukuru sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini tusianze na kucreate group letu whatsapp??
hivyo ndiyo vema kuanza ila mi sijajiunga whatsapp (natumia itel) .kama unaweza kutengeneza kundi na ukaanza kutualika wote tulioitikia utakuwa umesaidia sana.
 
kwanza motive ya kitu sio kutoa njaa ndiyo maana hatutaki mtu ajiunge kwa sababu amekosa ajira bali awe na nia ya kutake his destiny in his hands (chajusong). pili swala la kuchangisha pesa sio lengo kuu, vikundi vingi hufa sababu watu wanatanguliza pesa badala ya common interests. sisi tunatanguliza common interest (ardhi na kujiajiri). tatu tunataka hadi wazao wetu waje kufaidika so no way njaa yetu itaisha. pia sio kwamba kitakuwa kitu centralized bali member to member patnership ndiyo itakuwa encouraged zaidi. centralized and complex societies are prone to failure.

I like your ideaology chief, well done!
 
hivyo ndiyo vema kuanza ila mi sijajiunga whatsapp (natumia itel) .kama unaweza kutengeneza kundi na ukaanza kutualika wote tulioitikia utakuwa umesaidia sana.

Sasa hapo Red Giant inakuwaje kama wewe bado maana ndo Engine? Jitahidi mkuu, itasaidia sana kama tutakuwa kwenye whatsapp japo mi nashauri tofauti na whatsapp maana uwezo wa whatsapp ni member 50 tu na kwa hii structure nadhan lengo sio kuweka limit.
 
Mi niko tayari kuunda kundi nahitaji ruksa yako mkee red na wadau wengine waliocomment hapo juu
 
Back
Top Bottom