TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Vip kwa tulioko mikoani kiongozi??wakuu heshima kwenu, leo jumamosi, tarehe 28/06/2014;saa nane mchana, maeneo ya chuo kikuu cha dar-es- salaam, nkrumah hall, kutakuwa na kikao cha majumuisho ya kuanzishwa kwa tanzania graduate association, mnaombwa kuhudhulia kwa manufaa yako na wenzako, kumbuka bila ya kuamka sisi, kamwe tutazidi kulalamika tu. kwa mawasiliano 0757950376;asanten
wakuu heshima kwenu, leo jumamosi, tarehe 28/06/2014;saa nane mchana, maeneo ya chuo kikuu cha dar-es- salaam, nkrumah hall, kutakuwa na kikao cha majumuisho ya kuanzishwa kwa tanzania graduate association, mnaombwa kuhudhulia kwa manufaa yako na wenzako, kumbuka bila ya kuamka sisi, kamwe tutazidi kulalamika tu. kwa mawasiliano 0757950376;asanten