Nawakaribisha wasomi wote, wenye ajira na wasio na ajira.

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
wakuu heshima kwenu, leo jumamosi, tarehe 28/06/2014;saa nane mchana, maeneo ya chuo kikuu cha dar-es- salaam, nkrumah hall, kutakuwa na kikao cha majumuisho ya kuanzishwa kwa tanzania graduate association, mnaombwa kuhudhulia kwa manufaa yako na wenzako, kumbuka bila ya kuamka sisi, kamwe tutazidi kulalamika tu. kwa mawasiliano 0757950376;asanten
 
Hizo ndizo hatua za kisomi zinazohitajika,
kama si kumaliza angalau kuweka mikakati
madhubuti juu ya tatizo la ajira hasa kwa
graduates wetu.
 
Nitakuepo but tuombe MUNGU wale nzi wa kijani wasifike....wataharibu maana Mzima ya mchakato
 
wakuu heshima kwenu, leo jumamosi, tarehe 28/06/2014;saa nane mchana, maeneo ya chuo kikuu cha dar-es- salaam, nkrumah hall, kutakuwa na kikao cha majumuisho ya kuanzishwa kwa tanzania graduate association, mnaombwa kuhudhulia kwa manufaa yako na wenzako, kumbuka bila ya kuamka sisi, kamwe tutazidi kulalamika tu. kwa mawasiliano 0757950376;asanten
Vip kwa tulioko mikoani kiongozi??
 
Hata sie wa mbali tunaunga mkono mtuwakilishe vyema!
 
Back
Top Bottom