makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Leo napiga punyeto ya chakula... Nakula ugali mlenda huku nikivutia picha mahanjumati hayo.. Hadi nashiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Huyo alievaa juu mistari rangi nyekundu na nyeupe ni binti yetu?
Asante MziziMkavu!Sahani ziwapi ijapokuwa hujaniita mi nimekuja lool!!
Mahsusi kwa mwaliko hiyo.hata mi nimemwona hapo kacheza pc games mpaka macho yanamuuma halafu ndio mda wa msosi daa hapo mezani kweli balanced diet.
BAK kitu chako umekiona hapo?Una hatari weye ya kututamanisha mahanjumati. Nimeona ni wapi la kuanzia na kumalizia. Naomba sahani yangu tafadhali ili nianze kupakua.
Nimekiona Best yaani we acha tu huyu MziziMkavu anatutia hamu ya vinono. Mzima lakini Best?
Mzima best. Umesalimika na mvua huko? Au kwenu hali afadhali?
Nimesalimika Best, thanks for asking, hiyo picha ya huyo anayeruka kwenye hayo maji machafu imenishangaza.
Si unajua kuna watu wamedata.
Huyo kaona bahari hadi home kwao, afanyeje. Kaamua apige makachu hapo hapo. Lol.
Ila Znz hali mbaya. Mvua tangia jana.
Poleni sana, hopefully haitaleta mafuriko.
Kuna sehemu ndo kama hivyo kumefurika. Maji yameua, wengine wamehama kwenye majumba yao.