Nawakubali sana akinadada wa Singida, Mtwara/Lindi na Tanga

Nawakubali sana akinadada wa Singida, Mtwara/Lindi na Tanga

Mhhhhhhhhhhhhh! hapa natukaniwa dada zangu live live! khaaaa!
 
Duuuu........... Leo mmenifumbua macho kumbe kuna mambo ya namna hiyo! Aiseee , ngoja nifanye utafiti kwanza. Nitakuja na majibu baadaye.
 
singida no taste labda kama kuuza naye sura wamesimama.....
 
kilimanjaro-wachaga wako juu ajabu....................wanajituma nyumbani na njiani
 
Wamakonde ni noma...... Shemeji yenu yupo huko, mtoto kiuno bila mfupa, mtoto anajua kunitunza. Kudadadadadadeki ni noma. Nakubaliana na wewe.
 
kilimanjaro-wachaga wako juu ajabu....................wanajituma nyumbani na njiani

Mmmmh hao MONEY ORIENTED mi sina hamu nao kitu nyamwezi,sukuma and Hehe are good options to marry
 
Wamakonde ni noma...... Shemeji yenu yupo huko, mtoto kiuno bila mfupa, mtoto anajua kunitunza. Kudadadadadadeki ni noma. Nakubaliana na wewe.

kweli kabisa kitandan wapo juu ila kimaisha ni ZERO THINKERZ
 
Mambo ya kufikirika. Ni strerotype ambazo hazina nafasi dunia ya leo.
 
Nimesoma maoni ya wadau wote ila sitasema sana . But hata siku moja mtu unayejiita GT huwezi tambua kuwa life style imeegemea zaidi kwenye fikra na matakwa ya mtu mwenyewe? Japo jamii inayomzunguka na asili ya jamii aliyotokea vina nafasi ndogo sana kwenye hilo. BINTI AU MKE NI MKWE TUU INATEGEMEANA NA YEYE NA SIYO ALIPOTOKEA. Mbona niliioa mwarabu mwanzoni ila alikuwa hafanyi wanayodai ?
 
Wamakonde ni noma...... Shemeji yenu yupo huko, mtoto kiuno bila mfupa, mtoto anajua kunitunza. Kudadadadadadeki ni noma. Nakubaliana na wewe.
Hao kweli wapo juu.
 
Back
Top Bottom