Hawa wadada toka Singida,Kusini na Tanga wengi wetu huwa tunawakubali kwa mambo yao,ni wakali.Nawafagilia sana.
Nalo wazo mkuu.Akina dada wote TZ wanakubalika, huo ni mtazamo wako tu pia ni ubaguzi wa kikabila.
Ngoja nikueleze kitu ndugu, Mkoa atokako mtu patabaki kuwa mkoa tu,Kabila la mtu litabaki kuwa kabila tu na Tabia ya mtu itabaki kuwa hivyo.
Tambua ya kuwa Dada mzuri ni yule mwenye hekima na maadili mema si vinginevyo!!!!!!!!!!
Nimesoma maoni ya wadau wote ila sitasema sana . But hata siku moja mtu unayejiita GT huwezi tambua kuwa life style imeegemea zaidi kwenye fikra na matakwa ya mtu mwenyewe? Japo jamii inayomzunguka na asili ya jamii aliyotokea vina nafasi ndogo sana kwenye hilo. BINTI AU MKE NI MKWE TUU INATEGEMEANA NA YEYE NA SIYO ALIPOTOKEA. Mbona niliioa mwarabu mwanzoni ila alikuwa hafanyi wanayodai ?
Hawa wadada toka Singida,Kusini na Tanga wengi wetu huwa tunawakubali kwa mambo yao,ni wakali.Nawafagilia sana.