Nasikia wanajua kuandaa mtindi tu.Jamani watu mnangaika sana! Fanyeni hima kupata toto la kimasai ila asiwe mzawa wa town bali kijijiniii... Utafurahi mwenyewe. Kikubwa ni heshima, usikivu na wanatambua thamani ya mwanaume na ndoa kwa ujumla. Mengine mambo ya unyumba ni mambo ya kujadiliana na kufunzana
wengi wa wanaotoka Singida wamekeketwa. Ili afike inabidi uwe umejiandaa vyakutosha.
teh teh mamushka bhana sasa wanaziacha sekenke ili iweje? au ndo maandaliz ya ku do?Na pichu zao huwa wanaziacha sekenkeee.