Nawakubali Sana matapeli wa Aina hii.

Nawakubali Sana matapeli wa Aina hii.

Vida1

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
538
Reaction score
1,539
Kiukweli napenda Sana kuona binadamu anatumia akili kubwa kuingiza hela kubwa. Nachukizwa Sana na vibaka na wezi wadogo wadogo ambao wanaambulia makofi na vipigo hevi vya mtaa mzima kisa wameiba Bata au kuku.

Kuna tapeli mmoja hivi karibuni alitapeli zaidi ya million 50 kwa kuiclone Bank cheque. Ilikuwa hivi yule bwana tapeli alipewa cheki ya malipo ya 500000/= baada ya hapo akaifanyia cloning ile cheque kwa msaada wa computer na sophisticated software and printer akaongeza sifuri mbili ikawa million 50. Then kwa akabadilisha maandishi kwa maneno yakasomeka then same na amount ya million 50 ya tarakimu, Akaenda benki akatoa milion zake hamsini akasepa. Kampuni ikagundua zimepigwa milion 50 it was too late.

Hawa ni Aina ya matapeli ambao hata wakifika Polisi hawapigwi makofi pia wananunua supu ya kituo kizima, isitoshe mkuu wa kituo anakaa nao hili ajue Kama wamepiga ile pesa ili amalize kesi coz anajua jamaa wana hela Kiufupi wanaheshimika Sana na Mimi nawaheshimu Sana.

Conmen, scammers heko kwenu. Wewe utapeli gani smart unaukubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni wasomi.

Kuna kisa cha jamaa alipanga kuiba bank akasomea hadi masters ili kutimiza lengo lake na jeshini pia alienda kujifunza mbinu za kijeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Story ipo humu JF

Ile hela tuma kwenye no hii
Mm baba mwenye nyumba wako ,kodi tuma kwenye no hii
Mtoto wako ameanguka shule gafla tuma hela huku atibiwe
Mkeo kapata uchungu gafla tuma hela huku
Mm rafiki wa mkeo sijapenda alivyoniita kumbe kwa mchepuko sasa tuma hela tuendelee kunywa bia ili niwazubaishe uje kuwafumania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli napenda Sana kuona binadamu anatumia akili kubwa kuingiza hela kubwa. Nachukizwa Sana na vibaka na wezi wadogo wadogo ambao wanaambulia makofi na vipigo hevi vya mtaa mzima kisa wameiba Bata au kuku.

Kuna tapeli mmoja hivi karibuni alitapeli zaidi ya million 50 kwa kuiclone Bank cheque. Ilikuwa hivi yule bwana tapeli alipewa cheki ya malipo ya 500000/= baada ya hapo akaifanyia cloning ile cheque kwa msaada wa computer na sophisticated software and printer akaongeza sifuri mbili ikawa million 50. Then kwa akabadilisha maandishi kwa maneno yakasomeka then same na amount ya million 50 ya tarakimu, Akaenda benki akatoa milion zake hamsini akasepa. Kampuni ikagundua zimepigwa milion 50 it was too late.

Hawa ni Aina ya matapeli ambao hata wakifika Polisi hawapigwi makofi pia wananunua supu ya kituo kizima, isitoshe mkuu wa kituo anakaa nao hili ajue Kama wamepiga ile pesa ili amalize kesi coz anajua jamaa wana hela Kiufupi wanaheshimika Sana na Mimi nawaheshimu Sana.

Conmen, scammers heko kwenu. Wewe utapeli gani smart unaukubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bank za bongo hata laki tatu wanampigia simu mwenye kampuni Kama kweli aliipitisha hiyo cheque japo saini anaziona za waendesha account!
 
Bank za bongo hata laki tatu wanampigia simu mwenye kampuni Kama kweli aliipitisha hiyo cheque japo saini anaziona za waendesha account!
Ni shida sana mkuu!
Sasa Fikiria kampuni imelipa wateja 100 kwa njia hiyo, maanake kutwa nzima mwenye kampuni atakuwa busy kujibu simu kwamba ndiyo nmelipa

Umaskini Mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli napenda Sana kuona binadamu anatumia akili kubwa kuingiza hela kubwa. Nachukizwa Sana na vibaka na wezi wadogo wadogo ambao wanaambulia makofi na vipigo hevi vya mtaa mzima kisa wameiba Bata au kuku.

Kuna tapeli mmoja hivi karibuni alitapeli zaidi ya million 50 kwa kuiclone Bank cheque. Ilikuwa hivi yule bwana tapeli alipewa cheki ya malipo ya 500000/= baada ya hapo akaifanyia cloning ile cheque kwa msaada wa computer na sophisticated software and printer akaongeza sifuri mbili ikawa million 50. Then kwa akabadilisha maandishi kwa maneno yakasomeka then same na amount ya million 50 ya tarakimu, Akaenda benki akatoa milion zake hamsini akasepa. Kampuni ikagundua zimepigwa milion 50 it was too late.

Hawa ni Aina ya matapeli ambao hata wakifika Polisi hawapigwi makofi pia wananunua supu ya kituo kizima, isitoshe mkuu wa kituo anakaa nao hili ajue Kama wamepiga ile pesa ili amalize kesi coz anajua jamaa wana hela Kiufupi wanaheshimika Sana na Mimi nawaheshimu Sana.

Conmen, scammers heko kwenu. Wewe utapeli gani smart unaukubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unanikumbusha Kasusura. Hadi anakamatwa pesa yote imekwisha!
 
Mkuu unatakiwa kua unatumia akili sasa mkuu wa kituo ana maliza kesi kama hio wakati shahidi ni wahusika wa hio bank..kesi kama hio inamalizwa mahakamani kwa kushindwa kuithibitishia mahakama..watu wanatakiwa wajue kuna baadhi ya vitu polisi hawana uwezo wa kuvifanya
 
Mkuu mwongozo wa kesi yote unatoka Polisi sababu Polisi ndio wanapeleleza kesi na Wala sio mahakama.

Kazi ya mahakama ni kutafsiri Sheria na kutumia ushaidi kutoka Polisi ili kumweka mshtakiwa hatiani. Sasa basi Polisi Wana nafasi ya kuipofusha mahakama Kama ushaidi utakuwa dhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani nawakubali matapeli wawili tu..
  1. Frank Abagnale (?) Fbi walibidi wamuajili maana ni akili kubwa
  2. Victor lusting (aliyeuza mnara wa Eiffel mara 2
Frank William Abagnale Jr. (/ˈæbəɡneɪl/; born April 27, 1948) is an American security consultant known for his background as a former con man, check forger, and impostor while he was between the ages of 15 and 21. He became one of the most notorious impostors,[1] claiming to have assumed no fewer than eight identities, including an airline pilot, a physician, a U.S. Bureau of Prisons agent, and a lawyer. Abagnale escaped from police custody twice (once from a taxiing airliner and once from a U.S. federal penitentiary) before turning 22 years old.[2] He served less than five years in prison before starting to work for the federal government. Abagnale is currently a consultant and lecturer for the FBI academy and field offices. He also runs Abagnale & Associates, a financial fraud consultancy company.
..
In 1925, Victor Lustig traveled back to France. While staying in Paris, he chanced upon a newspaper article discussing the problems faced with maintaining the Eiffel Tower, which gave him inspiration for a new con. At the time, the monument had begun to fall into disrepair, and the city was finding it increasingly expensive to maintain and repaint it. Part of the article made a passing comment that overall public opinion on the monument would move towards calls for its removal, which was the key to convincing Lustig that using it as part of his next con would be lucrative.[3] After researching what he needed to help him utilize the information from the article, Lustig set to work preparing the scam, which included hiring a forger to produce fake government stationery for him.[5]

Once he was ready, Lustig invited a small group of scrap metal dealers to a confidential meeting at an expensive hotel, whereupon he identified himself to them as the Deputy Director General of the Ministère de Postes et Télégraphes.[3] In the meeting, he convinced the men that the upkeep of the Eiffel Tower was becoming too much for Paris and that the French government wished to sell it for scrap, but that because such a deal would be controversial and likely spark public outcry, nothing could be disclosed until all the details were thought out. Lustig revealed that he was in charge of selecting the dealer who would receive ownership of the structure, claiming that the group had been selected carefully because of their reputations as "honest businessmen". As part of his speech, he took in genuine insight about the monument's place in the city, and how it didn't fit in with the city's other great monuments like the Gothic cathedrals or the Arc de Triomphe.[5]

During his time with the dealers, Lustig kept watch on who would be the most likely to fall for his scam, and found his mark in André Poisson - an insecure man, who wished to rise up amongst the inner circles of the Parisian business community.[6] As he showed the keenest interest in purchasing the monument, Lustig decided to focus on him once the dealers sent their bids to him.[6] Arranging a private meeting with Poisson, Lustig convinced him that he was a corrupt official, claiming that his government position did not give him a generous salary for the lifestyle he wished to enjoy.[7] Believing the sale of the Eiffel Tower would secure him a place amongst the top businessmen, Poisson agreed to pay a large bribe to secure ownership of the Eiffel Tower. However, once Lustig received his bribe and the funds for the monument's "sale", he soon fled to Austria.[5]

Lustig suspected that when Poisson found out he had been conned, he would be too ashamed and embarrassed to inform the French police of what he had been caught up in, yet despite this belief, he maintained a check on newspapers while in Austria. His suspicions soon proved to be correct when he could find no reference of his con within their pages, and thus he decided to return to Paris later that year to pull off the scheme once more.[5][7] However, when he attempted to con another group of dealers and had managed to find a mark among them willing to buy the Eiffel Tower, circumstances proved to be different - unlike with Poisson, the police were informed about the scam and sought to arrest him. Lustig was forced to flee to the United States as a direct result, in order to evade capture
 
Dunia imebadilika sana ,nakumbuka kipindi nasomea computer Engnearing pale PASAU UNIVERSTY UJERUMAN.....kuna matajiri wao kazi yao walikuwa wanakuja kuchukua wale wanafunzi walioiva halafu wana IQ ya kujiongeza

Wanaenda kutengeneza cyber softwear za kuhack bank au sever za serikali jamaa walikuwa wako vizuri mkataba wao miaka 5

Ukimalizana nao mnaachana au wanakutacutia connection na makundi mengine ....nilikuwa naona watu wanatengeneza pesa bila jasho

Sent using i phone x
 
Back
Top Bottom