Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Kiukweli napenda Sana kuona binadamu anatumia akili kubwa kuingiza hela kubwa. Nachukizwa Sana na vibaka na wezi wadogo wadogo ambao wanaambulia makofi na vipigo hevi vya mtaa mzima kisa wameiba Bata au kuku.
Kuna tapeli mmoja hivi karibuni alitapeli zaidi ya million 50 kwa kuiclone Bank cheque. Ilikuwa hivi yule bwana tapeli alipewa cheki ya malipo ya 500000/= baada ya hapo akaifanyia cloning ile cheque kwa msaada wa computer na sophisticated software and printer akaongeza sifuri mbili ikawa million 50. Then kwa akabadilisha maandishi kwa maneno yakasomeka then same na amount ya million 50 ya tarakimu, Akaenda benki akatoa milion zake hamsini akasepa. Kampuni ikagundua zimepigwa milion 50 it was too late.
Hawa ni Aina ya matapeli ambao hata wakifika Polisi hawapigwi makofi pia wananunua supu ya kituo kizima, isitoshe mkuu wa kituo anakaa nao hili ajue Kama wamepiga ile pesa ili amalize kesi coz anajua jamaa wana hela Kiufupi wanaheshimika Sana na Mimi nawaheshimu Sana.
Conmen, scammers heko kwenu. Wewe utapeli gani smart unaukubali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi iba kijinga hivyo sikuhizi.
Unless umeshirikiana na mtumishi w ahiyo kampuni.