Nawakubali Sana matapeli wa Aina hii.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kila mtu ananaswa kwenye udhaifu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu rushwa bado ipo Sana.
Tena achilia mbali wezi wa mamilioni Kama hayo,Kuna hata wezi wa simu wanakula nao.
Ukitaka kujua hilo siku ukiibiwa Smartphone yako halafu ukienda kushitaki polisi ndio utagundua ninachokisema hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shida sana mkuu!
Sasa Fikiria kampuni imelipa wateja 100 kwa njia hiyo, maanake kutwa nzima mwenye kampuni atakuwa busy kujibu simu kwamba ndiyo nmelipa

Umaskini Mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani tuelewane kidogo.
Kuna kitu inaitwa Checklist, mtu haitaji kujibu simu siku nzima. Anapeleka hii kitu hii kitu bank na bank wanchofanya ni kuhakiki kama ipo, hawana haja ya kupiga simu wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa kuwepo nakubali ila kesi high profile haziwezi kumalizwa polisi kesi za kuishia polisi ni kesi ndogo
 
Bank za bongo hata laki tatu wanampigia simu mwenye kampuni Kama kweli aliipitisha hiyo cheque japo saini anaziona za waendesha account!
Nilitaka kulisema hili 😀 😀 😀 ukitoa senti tu unapokea meseji
 
Nilifululiza kuwaibia manispaa kodi yao miaka 4 toka nimeanza biashara ila mwaka huu nimedabwa aiseee ila nimewalipa japo nimeumia kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kizuri kuiba kwa akili aise,kwanza mnafanya hatajeshi lenu lapolisi kubadilika kutumia akili ubunifu ,nk..poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama unauelewa huo mkanda wa Kasusura, tupe dondoo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata link hii:
 
Kuna kisa cha jamaa alikua tapeli wa kiwango cha juu aliwahi jifanya rubani,pia daktari wa watoto yaan alikua na mbinu za hali ya juu hadi FBI ikabidi wamuajiri kabsaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kuna movie ya huyu jamaa ni very interesting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…