Nawakubali Sana matapeli wa Aina hii.



Huwezi iba kijinga hivyo sikuhizi.
Unless umeshirikiana na mtumishi w ahiyo kampuni.
 
Ndio wale waliofukuzwa UDSM mwezi wa Tisa? Huo mchezo umefanyika sana sana Chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bana kuna watu walitapeli kama ml 40 hivi hawa majama wanakwambia wanauza dhahabu hu ni utapeli wa tangu miaka ya 2000 uko wanakua na kikundi hadi bosi kabisa gari zuri n.k,wanakuingiza chaka ivo sasa siku wakakamatwa nafikir polis walikamta baadhi ya hela unajua yule alieshtaki aliambiwaje akalete kibali cha kununulia madini kama kweli alinunua hayo madini,mwisho ikaendaa akaambiwa file limepotea hahaaaa haatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bank kuna comfirmation kumpigia aliekuandikia ,pia kuna check list inatumwa bank..........pia hatuna utaratibu wa cheque za bandia ,na kuna kifaa cha kugundua cheque km ni OG ,ukimulika tu inakuonesha alama kama za hela
Hii nazani sio TZ au ni miaka hio nchi za wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…