Nawakubali Viongozi wa CCM Wenye Lugha za kushawishi badala ya Vitisho mfano Dkt. Dotto Biteko (NWM)

Dunia ya Leo ni ya kushawishi siyo ya Ubabe hivyo nafurahishwa sana kwa namna Naibu Waziri mkuu mh Dotto Biteko anavyofanya Siasa zake

Siasa ni kujenga hoja na kushawishi zikubalike siyo kulazimisha

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
Hujamtokea
 
Leo hii nilikuwa napiga stori na mkulungwa mmoja tukamuongelea sana mh.Dr.Dotto Biteko....

Kwa mazuri...

Tulitumia muda mwingi kuongelea "charisma" yake ya JAALA ya mwenyezi Mungu....

NWM ni "genius"...

NWM ni mtu mwema....mwenye moyo mweupe mno....si mnafiki....perfect person....mwenye ahadi na mfuatiliaji mzuri...

NWM kajaaliwa na Allah kwa busara na hekima kuu....

NWM ni MZALENDO....MZALENDO MZALENDO....ni mfano wa kuigwa kwetu vijana haswa wale wenye JICHO LA ROHONI na kuipenda mno Tanzania zaidi ya VYAMA VYAO...

#Nchi Kwanza[emoji2956]
#Mwenyezi Mungu amhifadhi mh.Dotto Biteko , aaaamin aaamin [emoji2956]
 
Dunia ya Leo ni ya kushawishi siyo ya Ubabe hivyo nafurahishwa sana kwa namna Naibu Waziri mkuu mh Dotto Biteko anavyofanya Siasa zake

Siasa ni kujenga hoja na kushawishi zikubalike siyo kulazimisha

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
CCM hakuna viongozi kuna watawala, wauaji, watekaji, wapotezaji...................you name thm all!
 
Dunia ya Leo ni ya kushawishi siyo ya Ubabe hivyo nafurahishwa sana kwa namna Naibu Waziri mkuu mh Dotto Biteko anavyofanya Siasa zake

Siasa ni kujenga hoja na kushawishi zikubalike siyo kulazimisha

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
Wewe si kama wao tuuu
Your browser is not able to display this video.
 
Dunia ya Leo ni ya kushawishi siyo ya Ubabe hivyo nafurahishwa sana kwa namna Naibu Waziri mkuu mh Dotto Biteko anavyofanya Siasa zake

Siasa ni kujenga hoja na kushawishi zikubalike siyo kulazimisha

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
Unayafahamu yaliyotokea kwenye Jimbo lake 2020?

Hakuna Mwanaccm Mwema
 
Dunia ya Leo ni ya kushawishi siyo ya Ubabe hivyo nafurahishwa sana kwa namna Naibu Waziri mkuu mh Dotto Biteko anavyofanya Siasa zake

Siasa ni kujenga hoja na kushawishi zikubalike siyo kulazimisha

Ahsanteni Sana πŸ˜‚
Kwa nini hukumshauri John Mzilankende? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…