Leo hii nilikuwa napiga stori na mkulungwa mmoja tukamuongelea sana mh.Dr.Dotto Biteko....
Kwa mazuri...
Tulitumia muda mwingi kuongelea "charisma" yake ya JAALA ya mwenyezi Mungu....
NWM ni "genius"...
NWM ni mtu mwema....mwenye moyo mweupe mno....si mnafiki....perfect person....mwenye ahadi na mfuatiliaji mzuri...
NWM kajaaliwa na Allah kwa busara na hekima kuu....
NWM ni MZALENDO....MZALENDO MZALENDO....ni mfano wa kuigwa kwetu vijana haswa wale wenye JICHO LA ROHONI na kuipenda mno Tanzania zaidi ya VYAMA VYAO...
#Nchi Kwanza[emoji2956]
#Mwenyezi Mungu amhifadhi mh.Dotto Biteko , aaaamin aaamin [emoji2956]