johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
TUAMBIE WEWE NI WAZIRI MKUU YUPI AMBAE ALIPEWA UWAZIRI AKIWA KAMA MBUNGE WA KUTEULIWA?Ni lini bunge limewahi kukataa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais nitajie bunge lipi na lini, acha kuongea huo upotolo bwana
NDIO MAANA HATA WALE WANACHAMA WAO MIMI HUWAGA MUDA MWINGINE NAWAPUNGUZA KIDOGO. WANASHINDWA KUHOJI KILA KAULI AMBAZO WANAZITOA WAGOMBEA AU VIONGOZI WAO ZINAKANGANYA.
WAKIFANYA HIVYO HAWATOKAA WAKAKUBALI KUWAUNGA MKONO HATA SIKU MOJA.
KWANGU MAGUFULI NI NAMBA MOJA
Hakuna bunge lililowahi kumkataa aliyependekezwa na rais.. ila kumbuka mara zote huwa Raid ni mwenyekiti wa CCM na hao wabunge wanaompitisha wengi wao ni wanachama wa CCM. Kwahiyo kama Lissu atakuwa rais kutatokea ugumu jina alilopendekeza kupitishwa na bunge ambalo wengi ni CCMNi lini bunge limewahi kukataa Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais nitajie bunge lipi na lini, acha kuongea huo upotolo bwana
We ni nani aliye kwambia ccm watakuwa wengi bungeni?Hakuna bunge lililowahi kumkataa aliyependekezwa na rais.. ila kumbuka mara zote huwa Raid ni mwenyekiti wa CCM na hao wabunge wanaompitisha wengi wao ni wanachama wa CCM. Kwahiyo kama Lissu atakuwa rais kutatokea ugumu jina alilopendekeza kupitishwa na bunge ambalo wengi ni CCM
Na wewe mbona hujahoji mgombea wenu aliposema hakutengeneza barabara ya bunda sababu walichagua mbunge wa upinzani, kwanini usimuulize kama kuchagua mbunge wa upinzani ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba
Unataka ushahidi gani katika hili?We ni nani aliye kwambia ccm watakuwa wengi bungeni?
KawawaTUAMBIE WEWE NI WAZIRI MKUU YUPI AMBAE ALIPEWA UWAZIRI AKIWA KAMA MBUNGE WA KUTEULIWA?
Yaani bunge la CCM limthibitishe Mbowe kuwa PM?!
Kwani Chadema ina wagombea wangapi wa ubunge?!We ni nani aliye kwambia ccm watakuwa wengi bungeni?