johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Unajua idadi ya wagombea ubunge wa Chadema au unabwabwaja tu bwashee?Fikra zako ndo finyu, siyo bunge lilopita, mdudugay, Lissu akiwa Rais, majority ya wabunge watakua wa CHADEMA!
Mimi siyo mbunge wa kuchaguliwa.Bro. John hivi kwa mfano leo hii Mh. Magufuli akuteuwe kuwa PM kuna wakutengua?
Kwani ccm ina wangapi waliopita bila kupingwa?Kwani Chadema ina wagombea wangapi wa ubunge?!
CCM ina wabunge 20 waliopita bila kupingwa na ina wagombea ubunge katika majimbo yote yaliyobakia!Kwani ccm ina wangapi waliopita bila kupingwa?
Hahahaaaa....... Mbowe anawaza uwaziri mkuu?Siyo kwa utopolo huu!
Ni sawa tukiacha hawa 20 bado kuna majimbo zaidi ya 240 ambayo yanagombewa.CCM ina wabunge 20 waliopita bila kupingwa na ina wagombea ubunge katika majimbo yote yaliyobakia!
Nchi nzima kasoro 21 moja waalio pitishwa na tume! Lakini kumbuka kuwa wakimgomea Rais , atavunja bunge, watu warudi kwenye uchaguzi, ambapo hakuna atakaye kua na uhakika wa kurudi! Pia ujue hata ccm kuna wanaojielewa!Unajua idadi ya wagombea ubunge wa Chadema au unabwabwaja tu bwashee?
Hawa waliyojaa sasa hivi wametoka wapi?Kama mbowe ameishawahi cheo cha uwaziri mkuu basi tutegemee hata mademu zake kuukwaa ukuu wa mkoa na wilaya