Nawakumbusha, members wote wa JamiiForums

Kaka mkubwa hii nayo ni ishu mijutu mingine haion mikubwa et ukiisalimia inaona aibu inajeukia upande mwingn
 
AGE AIN'T NOTHIN BUT.................................
 
Daaah! Unanitia machozi mkuu!!! Karibia naingia umri wa stress kwa sie wadada tusio na ndoa [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Nasikiaga eti "life begins at 40" 😀
Life begins at 40 ikimaanisha kwa mda huo ushaitafuta hiyo life na unaanza kuiishi sasa!!! Sio by 40 bado huna shughuli ya maana, huna mke/mume wala mtoto wa kusingiziwa, huna nyumba wala ata baisikeli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…