bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
Mkuu hivi unakumbuka kipindi ambapo hip hop imepamba moto yaani vugu vugu la hip hop bongo watu wanaigiza za mamtoni madogo ukiweka tu mziki unasikia babaah kaka anaweka mziki wa kihuni sasa napigia picha jamaa na umri huo bado yupo kwao ndo maana nashangaa.Teh Teh Teh Teh Teh