Nawakumbusha, members wote wa JamiiForums

Teh Teh Teh Teh Teh
Mkuu hivi unakumbuka kipindi ambapo hip hop imepamba moto yaani vugu vugu la hip hop bongo watu wanaigiza za mamtoni madogo ukiweka tu mziki unasikia babaah kaka anaweka mziki wa kihuni sasa napigia picha jamaa na umri huo bado yupo kwao ndo maana nashangaa.
 
Kweli Mkuu Bora Ukae Sehemu Ukiwa Mwenyewe Unakuwa Na Uwezo Wa Kujiamlia Mambo Yako Mwenyewe Kuliko Home Ukawa Unapangiwa Cha Kufanya
 
18921644_1484797728236975_5363572982886270483_n.jpg
Nice one! Age is just numbers

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Umri ni idadi ya miaka sio tu uwezo wa mwili kutenda. Mara nyingine uwezo wa matendo ya mwili na umri hutofautiana mtu na mtu. Mzee wa miaka 90 aweza kuwa na uwezo sawa na miaka 60.
Wakati wote iambie akili yako kuwa una miaka mingi lakini hujashindwa kufanya Jambo. Kwa namna hi waweza kuishi miaka mingi. Ukianza kuvaa koti la kizee utazeeka haraka kwa kuwa akili itakupeleka huko!

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Naona Umeegemea Upande Fulani
 
Back
Top Bottom