Unaanza kumpangia MUNGU sasaat the age of 40years uwe una kila kitu kama nyumba,kusomesha nk
Mkubwa hivi halafu bado nipo tu nyumbani... Aibu sana hii [emoji26][emoji26][emoji26]
Wahenga hatuhusiki hapa ππInawezekana Kama Umri Wako Haupo Hapo
Mkuu komaa utoke home maana kunyan'ganyana rimoti na madogo siyo issue kabisa asee .Mkubwa hivi halafu bado nipo tu nyumbani... Aibu sana hii [emoji26][emoji26][emoji26]