Nawakumbusha, Ndoa ndio ina talaka lakini Mapenzi hayana Talaka

Uchumba ni maisha feki Kila mmoja ujitahidi kuficha Tabia zake mbaya,ndoa ni maisha halisi Kila mmoja uonyesha Tabia zake.
Talaka ni matokeo ya tokezo la Tabia mbaya nje ya makubaliano ya ndoa.
Alikuwa malaika kageuka kawa shetani kifuatacho ni talaka
 
Mahusiano weka kwenye maisha yanayokuzunguka kila siku..
 
Mm napendaga tena sina mwanamke naemmis kabisa
 
Ni dalili nzuri mno kupendwa, kusifiwa na kupongezwa na watu katika Mtandao huu pendwa, kwa maana wengi ni wakosoaji bila hoja na chuki zisizo na mipaka.

Kwahiyo mkuu nami nakupa pongezi, una UTASHI usiokuwa na mipaka. Binafsi nakuona mbali sana, siku moja uje kuwa zaidi ya FATHER NKWERA, DKT. ALLY NAWAJE MGANGA etc.

Kila la kheri mkuu[emoji3578]
 

Nashukuru sana.
Barikiwa Sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…