Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Baelezeage hao Ngada FC Sembe FC.Si mbaya mkapitia hii record angalau mjue kinachoenda kutokea jpili,kujiandaa ni bora zaid kuliko kushtukizwaView attachment 2585190
Hebu weka ww tuioneMbona sijaona Simba 4-1 Yanga au ya mwaka gani ile
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni kibonde wetu utake ni hivyo usitake ni hivyoKheee sasa hyo rekodi ndo ya kumtisha nani?
Kuna rekodi hapo imevunjwa ya 5 kwa 0...4 kwa 0?
Kumbe ni midroo ndo imejaa hapo
Hawautaki huu ukweliWanadhani tunatania, wanaenda kuchezea
Subiri Jumapili tukuoneshe pila la CAF champions ligiHebu weka ww tuione
Mbona una jazba sana kaka?Kheee sasa hyo rekodi ndo ya kumtisha nani?
Kuna rekodi hapo imevunjwa ya 5 kwa 0...4 kwa 0?
Kumbe ni midroo ndo imejaa hapo
Si ndio wanavyopagawaga... We subiri yan yule beleke sijui wataanza kumtukana siku ya derbyMbona una jazba sana kaka?
Umenisoma vibaya dadaMbona una jazba sana kaka?