Nawakumbusha Simba

Nawakumbusha Simba

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Si mbaya mkapitia hii record angalau mjue kinachoenda kutokea Jumapili, kujiandaa ni bora zaid kuliko kushtukizwa.

d38890f693bae6a14d8aad0f73c34e23.jpg
 
Kheee sasa hyo rekodi ndo ya kumtisha nani?
Kuna rekodi hapo imevunjwa ya 5 kwa 0...4 kwa 0?
Kumbe ni midroo ndo imejaa hapo
 
Kheee sasa hyo rekodi ndo ya kumtisha nani?
Kuna rekodi hapo imevunjwa ya 5 kwa 0...4 kwa 0?
Kumbe ni midroo ndo imejaa hapo
[emoji23][emoji23][emoji23] we ni kibonde wetu utake ni hivyo usitake ni hivyo
 
Back
Top Bottom