Nawakumbusha tu, Leo Askofu Gwajima alivaa tai nyekundu

Nawakumbusha tu, Leo Askofu Gwajima alivaa tai nyekundu

Gwajima: Haiwezekani wake watu wakijitambulisha kuwa ni polisi, Kisha kesho yake aliyekamatwa anapatikana ameuwawa, Kisha polisi watoke na kudai hawahusiki,

Kisha hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na mamlaka kuu,

Sasa watekaji watumwa na nani?
Unauliza ujue ama unauliza upate uhakika???
 
Hebu tuletee picha yake. Na leo Serikali imefuta usajili wa kanisa lake
 
Wako wapi wale waliokuwa wakituaminisha kuwa sakata la Gwajima ni "sinema" tu iliyoandaliwa na CCM?
 
Salaam!

Amewakumbusha ccm kuwa Yeye Gwajima ni hazina ndani ya chama Cha mapinduzi, wamtumie vizuri.

Na alivaa tai nyekundu Leo, sasa nichukue wasaa huu kumpongeza maana tai Ile ilimpendeza sana.

Kwako johnthebaptist

nami nilivaa tai nyekundu kumuunga mkono. God's reign!
 
Nimesikiza Tena press kwa kirefu,

Lakini pia nimeona kuwa Askofu Gwajima,ammerudia Tena kuvaa tai nyekundu.

Karibuni 🙏
 
Back
Top Bottom