Hayo umesema WEWE,Red tie = Mamlaka
πππ€§πMwanetu Tlaahtlaah hii wiki imekuwa ya moto sana kwake
Walizoea kufurahia ugomvi wa CDM,Mwanetu Tlaahtlaah hii wiki imekuwa ya moto sana kwake
Lucas kaadimika jukwaani π anatudanganya yupo shamba kumbe yupo hapa hapa mjini daslamu na totoz na maanaLucas Mwashambwa aione hii
Gwajima: Haiwezekani waje watu wakijitambulisha kuwa ni polisi, Kisha kesho yake aliyekamatwa anapatikana ameuwawa, Kisha polisi watoke na kudai hawahusiki,Rangi ya ubaya Ubwela π₯
Unauliza ujue ama unauliza upate uhakika???Gwajima: Haiwezekani wake watu wakijitambulisha kuwa ni polisi, Kisha kesho yake aliyekamatwa anapatikana ameuwawa, Kisha polisi watoke na kudai hawahusiki,
Kisha hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na mamlaka kuu,
Sasa watekaji watumwa na nani?
Mimi nipo na wifi yako ephen_ tu lazizi na waridi wa moyo wanguLucas kaadimika jukwaani π anatudanganya yupo shamba kumbe yupo hapa hapa mjini daslamu na totoz na maana
Lucas Mwashambwa shem haujambo
Wapiiii wewe upo na yule bata mzinga πMimi nipo na wifi yako ephen_ tu lazizi na waridi wa moyo wangu
Mimi nipo na ephen_ tu .huyo ndiye aliyebeba na kuuteka moyo wangu. Kwake sihemi wala sipumui . Yaani kwake nimenasa na siwezi kufurukuta.Wapiiii wewe upo na yule bata mzinga π
Salaam!
Amewakumbusha ccm kuwa Yeye Gwajima ni hazina ndani ya chama Cha mapinduzi, wamtumie vizuri.
Na alivaa tai nyekundu Leo, sasa nichukue wasaa huu kumpongeza maana tai Ile ilimpendeza sana.
Kwako johnthebaptist