Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,451
- 1,826
Inatafutwa wapi na inatafutwaje kwa njia hiyo!!? (Answer this question with reference to Zanzibar election 2015)aliyenyimwa haki aitafute haki yake kwa njia ya amani.
MIXOLOGIST
Inatafutwa wapi na inatafutwaje kwa njia hiyo!!? (Answer this question with reference to Zanzibar election 2015)aliyenyimwa haki aitafute haki yake kwa njia ya amani.
Inafikirisha, ila bado ipo nafasi ya kupata haki kwa njia ya amaniInatafutwa wapi na inatafutwaje kwa njia hiyo!!? (Answer this question with reference to Zanzibar election 2015)
MIXOLOGIST
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ugobhaaa!Hii nchi ilipofika haiwez kupokonywa urais kwa ushindi wa vikaratasi,
hili nakwambia kwa faida yako wewe mwenye vingi vya kupoteza hamisha mapema au uza mali zako uwape maskini.