Nawakumbusha tu MWANASIASA na MWANAHARAKATI ni watu wawili tofauti ila wanaweza fanana malengo

Nawakumbusha tu MWANASIASA na MWANAHARAKATI ni watu wawili tofauti ila wanaweza fanana malengo

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Watu wengi hasa CHAMA DOLA huwaweka binti kimambi na bint sarungi kwenye pipa moja na chadema hawajui kuwatofautisha na wapo SIJUI HAWAJUI KWELI TOFAUTI AU WANAFANYA KUSUDI?
 
Watu hasa bongo huona hawa watu ni chama moja
 
Kama yule Hilda & Co unawaweka kundi gani?
 
Hilda ni mwanasiasa wa chadema ILA MARIA SARUNGI NA MANGE wale ni wanaharakati na wanaharakati wanaweza kua upande wa chama tawala au chama pinzani muda wowote pale tu watakapofanana malengo
 
Mara nyingi tu mange na sarungi hua upande wa chama tawala pia hata shangazi yetu mzenji alifananaga na malengo ya chadaema kipindi cha magu na sasa malengo yapo sawa na ya ccm na uyo ni CCM ORG
 
Chadema , inahitaji watu smart ambao wapo very strategically na sio watu kama Kimambi na Sarungi na Hilda
 
Chadema , inahitaji watu smart ambao wapo very strategically na sio watu kama Kimambi na Sarungi na Hilda
Chadema watu wenye influence kuzidi hizo mama hawazidi wa5, ukitoa Lissu, Heche & Mnyika.

Ukimtoa Maria Sarungi na wengine, Mange huwa anapata taarifa nyingi sahihi zaidi ambazo kwa upande mwingine huwa zinawasaidia hata Chadema.

Chadema wakae meza moja na CCM, waridhiane ndiyo chama kitaenda kuwafia kama CUF. Zamani watu walikuwa hawawatambui madalali ndani ya chama, sasa washajulikana
 
Cdm haiwez kufa na hata cuf haikufa bali cdm itauwawa na cuf iliuwawa
 
Naona umeiba uzi wangu bila kufuata utaratibu

Ukiiba andiko la mtu kumbuka kutoa credit.

Mhariri Moderator unganisha huu uzi
 
Anachofanya Lema,alichofanya Mbowe,Selasini,na Mrema,hizo ndio tabia halisi za wachaga
 
Back
Top Bottom