tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Siasa sio mchezo mchafu ila wanasiasa ndio wachafu, dhahabu kuipakaza matope haipotezi thamani yake ila itakua na muonekano mbaya. Mnamkumbuka huyu mzee Deo Sanga, mbunge wa jimbo la Makambako?
Soma pia: Vyama vya Siasa havitoi Ahadi ya Uzima wa Milele uliotolewa na Agano la Yesu Kristo kwa kumwaga Damu Msalabani!
Chanzo: Mfungaji code
Soma pia: Vyama vya Siasa havitoi Ahadi ya Uzima wa Milele uliotolewa na Agano la Yesu Kristo kwa kumwaga Damu Msalabani!
Chanzo: Mfungaji code