namba tatu kali sana...ila kwa nini msiende nchi nyingine???itakuwa mlikuwa mnaumia sana kipindi kile....jirani yako akinunua Prado ukipata hela kanunue Vogue...sio kugeza kila kitu...na hii itakuwa akili ya Manara..Spain kuko vizuri tena wakati huu joto la kutoshaKwahivyo mlitaka na sisi tusiende? Au nyie nani amewakataza msiende