gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Hello simba fans! nataka kuwakumbusha tu kuwa kutesa kwa zamu, leo yenu kesho yetu inakuja. niwakumbushe tu
1. Sisi nasi tulienda huko huku Uturuki tulikaa mwezi mzima
2. Pia nawakumbusha tu, nasisi tulikuwa na makocha kutoka nje hao wadhungu!
3, Nasi tulikuwa na msemaji mropokaji kama nyie,
3. Hivyo basi chondechonde kutesa kwa zamu, leo ninyi kesho sisi! ngoja nasi tupambane na hali zetu, sasa tunawaombea njaa mngejua!