Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
umempa namba za gari boss yaani zimezid tarakimu ni dhahiri huitaji mgeni cku ya leo daaaah.Panda magari ya airport igoma shukia nera kisha tembea kidogo ulizia soko la kirumba lilipo fata maelekezo ukifika sokon nipigie 07967383638 nikuelekeze zaid maana mie naishi huku mabatini mliman
ππ
ualikwe utadhan umechangia mchele weeee hali ngumu,kale tu kwa mama ntilie siku ipite
umempa namba za gari boss yaani zimezid tarakimu ni dhahiri huitaji mgeni cku ya leo daaaah.