AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Na BALLON D'OR nadra sana kupata mtu nje ya wachezaji wanaovaa NIKE NA ADIDAS kwa mikataba binafsi HATA BASKTBALL MCHEZAJI BINAFI NIVIGUMU KUPATA TUZO KUBWA YA MWAKA KAMA HUVAI NIKE AU ADIDAS
Kwa vigezo walivyotumia ingekuwa ngumu sana kwa Mbappe kushinda hiyo tuzo.Na BALLON D'OR nadra sana kupata mtu nje ya wachezaji wanaovaa NIKE NA ADIDAS kwa mikataba binafsi HATA BASKTBALL MCHEZAJI BINAFI NIVIGUMU KUPATA TUZO KUBWA YA MWAKA KAMA HUVAI NIKE AU ADIDAS
Hii tunzo siku hizi imepoteza maana kabisa wachezaji wenyewe wanaochaguliwa kugombania hiyo tunzo ni WA kawaida sana.Kwa vigezo walivyotumia ingekuwa ngumu sana kwa Mbappe kushinda hiyo tuzo.
Angalau Yamal ametimiza vigezo vyote ila performance yake imemkatili inapanda na kushuka.
Kane alistahili zaidi kati ya hao wote.
Mkuu embu fafanua hapa kwanini Kane kamshinda Mbape..Kwa vigezo walivyotumia ingekuwa ngumu sana kwa Mbappe kushinda hiyo tuzo.
Angalau Yamal ametimiza vigezo vyote ila performance yake imemkatili inapanda na kushuka.
Kane alistahili zaidi kati ya hao wote.
Vigezo vilivyotumika kumpata mshindi ni vitatu.Mkuu embu fafanua hapa kwanini Kane kamshinda Mbape..
Sio kwa ubaya.
Mkuu indivudual perfomance wana fit wote kivipi embu elezea kidogo..maana kumbuka iyo ndo cattegory ya kwanza kwenye kuchuka balon dior.Vigezo vilivyotumika kumpata mshindi ni vitatu.
1.Individual performance
Hapa kote wana fit.
2.Kuisaidia timu yako kubeba makombe.
Madrid misimu miwili haina kombe hata moja.Kigezo hiki ndio kimemnyonga Mbappe.
Kane ameisaidia Buyern Munich kushinda makombe matatu uko Bundesliga.
3.Tabia binafsi za mchezaji ndani ya uwanja na fair play.
Hapo tabia binafsi ndio kelele za kumchafua mbape zilipewa kipaumbele sanaVigezo vilivyotumika kumpata mshindi ni vitatu.
1.Individual performance
Hapa kote wana fit.
2.Kuisaidia timu yako kubeba makombe.
Madrid misimu miwili haina kombe hata moja.Kigezo hiki ndio kimemnyonga Mbappe.
Kane ameisaidia Buyern Munich kushinda makombe matatu uko Bundesliga.
3.Tabia binafsi za mchezaji ndani ya uwanja na fair play.
Madrid hana kombe lolote.Hapo tabia binafsi ndio kelele za kumchafua mbape zilipewa kipaumbele sana
Fabian Luiz alistahili maana ana makombe yote makubwa duniani na tabia yake ni njemaMadrid hana kombe lolote.
kigezo icho pia kimemnyonga.
Amemzidi bro,Hii tunzo siku hizi imepoteza maana kabisa wachezaji wenyewe wanaochaguliwa kugombania hiyo tunzo ni WA kawaida sana.
Hivi Kane amemzidi Nini Mbape kitakwimu?
achilia mbali huyo Fabian Ruiz, huyo Kane kazidiwa vigezo hadi na OliseFabian Luiz alistahili maana ana makombe yote makubwa duniani na tabia yake ni njema
Individual performance je,Fabian Luiz alistahili maana ana makombe yote makubwa duniani na tabia yake ni njema
Vigezo vipi kazidiwa,maana goals WC cup kane ana 7,kamzidi kane bundesliga kamzidi parefu olise,timu wote bayern,wapi sasa hapo Kamzidiachilia mbali huyo Fabian Ruiz, huyo Kane kazidiwa vigezo hadi na Olise
Hizi tuzo kila mwaka zinakuwa na vigezo tofauti.Vigezo vilivyotumika kumpata mshindi ni vitatu.
1.Individual performance
Hapa kote wana fit.
2.Kuisaidia timu yako kubeba makombe.
Madrid misimu miwili haina kombe hata moja.Kigezo hiki ndio kimemnyonga Mbappe.
Kane ameisaidia Buyern Munich kushinda makombe matatu uko Bundesliga.
3.Tabia binafsi za mchezaji ndani ya uwanja na fair play.
Kwamba ulitaka apewe Raya?Hizi tuzo kila mwaka zinakuwa na vigezo tofauti.
Kusema kweli upendeleo unahusika kwa kiasi kikubwa sana.
Mfano hai ni tuzo ya kipa bora kati ya Unai Simon na David Raya
Kama ambavyo vigezo vya kumpatia Kane tuzo kwa kuisaidia Bayern kubeba makombe ya ndani ya Ujerumani, Raya alistahili kwa kigezo hiki maana anaziada ya Uhispania kubeba kombe la Dunia pia.Kwamba ulitaka apewe Raya?
MbapeHii tunzo siku hizi imepoteza maana kabisa wachezaji wenyewe wanaochaguliwa kugombania hiyo tunzo ni WA kawaida sana.
Hivi Kane amemzidi Nini Mbape kitakwimu?
Kane anavaa Nike au Adidas?Na BALLON D'OR nadra sana kupata mtu nje ya wachezaji wanaovaa NIKE NA ADIDAS kwa mikataba binafsi HATA BASKTBALL MCHEZAJI BINAFI NIVIGUMU KUPATA TUZO KUBWA YA MWAKA KAMA HUVAI NIKE AU ADIDAS
Kwa sasa hakuna mchezaji ambaye anaweza kupata hiyo tuzo watu wote wakaridhika kama ilivyokuwa enzi ya MessiHizi tuzo kila mwaka zinakuwa na vigezo tofauti.
Kusema kweli upendeleo unahusika kwa kiasi kikubwa sana.
Mfano hai ni tuzo ya kipa bora kati ya Unai Simon na David Raya
YamalNa BALLON D'OR nadra sana kupata mtu nje ya wachezaji wanaovaa NIKE NA ADIDAS kwa mikataba binafsi HATA BASKTBALL MCHEZAJI BINAFI NIVIGUMU KUPATA TUZO KUBWA YA MWAKA KAMA HUVAI NIKE AU ADIDAS