Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.
Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu haikuingizwa ndani ya bendera yetu ya taifa.
Taifa hili limejengwa Katika misingi ya umoja, upendo, mshikamano wa Hali ya juu.
Wote wenye Nia ovu ya kutumia hofu kama sababu ya kutisha watu Ili kupata maslah yao ya kisiasa ,wajue kuwa kamwe hawatofanikiwa.
Watanzania kamwe hatutabeba silaha kulipiza kisasi, tutaendelea kudai haki na kupaza sauti za haki kwa Amani kabisa Hadi pale tutakapoirudisha nchi yetu Katika misingi yake iliyoachwa na waasisi wa nchi hii.
Nawasihi wenye Nia ovu, kutizamwa rangi za bendera yetu ya taifa watapata majibu.
NB: Mchimba mashimo, ataingia mwenyewe, hiyo ni kanuni.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Aamin