Mchimba mashimo.......Red ni Upendo
Valentineโs ๐๐๐๐น๐ฟ
Hizo rangi haziwezi badilika kamwe.View attachment 3323921 Hii bendera imeshatiwa doa.
Kweli kabisa.Amani iende sambamba na haki.
Hakuna mtanzania anaetamani machafuko, ila walioko madarakani watende haki.
Bendera huwa zunabadilishwa tu, Wapinzani tukishika dola na tukaona gharama za kuwakomboa Watanzania ni kubwa na DAMU nyiingi imemwagika tutaongeza rangi nyekundu kama ishara ya Damu iliyomwagwa.Hizo rangi haziwezi badilika kamwe.
Kama nyekundu ni ishara ya nia ovu basi nchi hii itaendelea kuwa chini ya wajingaRangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.
Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu haikuingizwa ndani ya bendera yetu ya taifa.
Taifa hili limejengwa Katika misingi ya umoja, upendo, mshikamano wa Hali ya juu.
Wote wenye Nia ovu ya kutumia hofu kama sababu ya kutisha watu Ili kupata maslah yao ya kisiasa ,wajue kuwa kamwe hawatofanikiwa.
Watanzania kamwe hatutabeba silaha kulipiza kisasi, tutaendelea kudai haki na kupaza sauti za haki kwa Amani kabisa Hadi pale tutakapoirudisha nchi yetu Katika misingi yake iliyoachwa na waasisi wa nchi hii.
Nawasihi wenye Nia ovu, kutizamwa rangi za bendera yetu ya taifa watapata majibu.
NB: Mchimba mashimo, ataingia mwenyewe, hiyo ni kanuni.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania ๐น๐ฟ
Aamin
Hilo halitatokea.Bendera huwa zunabadilishwa tu, Wapinzani tukishika dola na tukaona gharama za kuwakomboa Watanzania ni kubwa na DAMU nyiingi imemwagika tutaongeza rangi nyekundu kama ishara ya Damu iliyomwagwa.
SI rahisi kuwa Rais.Watanzania tupendane.
Tuache kutekana na kuuana kijinga jinga.
Bendera hii yenyewe siku muungano ukiondoka kila mtu anabaki na Pazia lake huko visiwani bendera yao ni nyekundu yenye alama za karafuu huku Tanganyika hiyo bendera iliyofutwa ni kama ya Jamaica never say never kila kitu kinabadikaga tu. Acha ushamba.Hilo halitatokea.
Hiyo damu iliyomwagwa pasi na hatia haitapanda kwenye bendera yetu nzuri,
Damu hiyo iwafiate walioimwaga wao na uzao wao mbele yao.
Tanzania ndio nchi illiyobeba Dunia Katika ulimwengu wa Roho.
Nyeusi ni Giza na huzuni, jinga wewe!Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.
Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu haikuingizwa ndani ya bendera yetu ya taifa.
Taifa hili limejengwa Katika misingi ya umoja, upendo, mshikamano wa Hali ya juu.
Wote wenye Nia ovu ya kutumia hofu kama sababu ya kutisha watu Ili kupata maslah yao ya kisiasa ,wajue kuwa kamwe hawatofanikiwa.
Watanzania kamwe hatutabeba silaha kulipiza kisasi, tutaendelea kudai haki na kupaza sauti za haki kwa Amani kabisa Hadi pale tutakapoirudisha nchi yetu Katika misingi yake iliyoachwa na waasisi wa nchi hii.
Nawasihi wenye Nia ovu, kutizamwa rangi za bendera yetu ya taifa watapata majibu.
NB: Mchimba mashimo, ataingia mwenyewe, hiyo ni kanuni.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania ๐น๐ฟ
Aamin
Hakika... anayeleta uch0chezi avunjwe mg0ng0...Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.
Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu haikuingizwa ndani ya bendera yetu ya taifa.
Taifa hili limejengwa Katika misingi ya umoja, upendo, mshikamano wa Hali ya juu.
Wote wenye Nia ovu ya kutumia hofu kama sababu ya kutisha watu Ili kupata maslah yao ya kisiasa ,wajue kuwa kamwe hawatofanikiwa.
Watanzania kamwe hatutabeba silaha kulipiza kisasi, tutaendelea kudai haki na kupaza sauti za haki kwa Amani kabisa Hadi pale tutakapoirudisha nchi yetu Katika misingi yake iliyoachwa na waasisi wa nchi hii.
Nawasihi wenye Nia ovu, kutizamwa rangi za bendera yetu ya taifa watapata majibu.
NB: Mchimba mashimo, ataingia mwenyewe, hiyo ni kanuni.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania ๐น๐ฟ
Aamin
AaaaaminIli uchimbe shimo ni lazima mchimbaji uingie kwanza kutoa udongo,
Sasa kuchimba ndio kuingia kwenyewe.
Hakika walioanzisha hilla hizi kuumiza watanzania wasio haki,
Tutawafukia wao kwanza.
Na iwe hivyo.
Aamin
Kwani damu zilizokwisha mwaga ni maji au uchawa na woga ndivyo vinakusumbua?Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.