Nawakumbusha tu wenye Nia ovu kuangalia rangi za bendera yetu ya taifa, haina Red color

Haki na kuheshimiana ni jambo jema.
 

Washauri CCM waache kucolonize Wananchi wake.
 
Siamini katika rangi za Bendera au Mwenge, huo ni upumbavu wa kishirikina tu.
Tungeweza kua na Bendera Nyeusi/Nyeupe tuu na Bado tukawa Tanzania hii hii ya Kipumbavu iliyojaa watu mafala kama wewe.
 
Hilo halitatokea.

Hiyo damu iliyomwagwa pasi na hatia haitapanda kwenye bendera yetu nzuri,

Damu hiyo iwafiate walioimwaga wao na uzao wao mbele yao.

Tanzania ndio nchi illiyobeba Dunia Katika ulimwengu wa Roho.
Jinga wewe!
 
Siamini katika rangi za Bendera au Mwenge, huo ni upumbavu wa kishirikina tu.
Tungeweza kua na Bendera Nyeusi/Nyeupe tuu na Bado tukawa Tanzania hii hii ya Kipumbavu iliyojaa watu mafala kama wewe.
Mwambie ukweli huyu mpumbavu!
 
Silaha mnazo wenyewe nammnazitumia wenyewe kuumiza wasiokua nazo kwahiyo kama machafuko mtakao leta ni nyie sisi kama wananchi ombi letu ni moja tu Haki Haki Haki Haki Haki
 
Silaha mnazo wenyewe nammnazitumia wenyewe kuumiza wasiokua nazo kwahiyo kama machafuko mtakao leta ni nyie sisi kama wananchi ombi letu ni moja tu Haki Haki Haki Haki Haki
Rudia kusoma mada labda utaelewa,

Stress is real.
 
Washauri CCM waache kucolonize Wananchi wake.
Mwl Nyerere alishindwa akataka Kurudishwa kadi ahamie upinzani,

Mimi nitaweza?

Hata ikifa ccm, Tanzania niipendayo itaendelea kuwepo.
 
Na mimi nalaani tena kwa moyo wote.

Tuje kwenye historia, Nyerere alitawala, Mwinyi katawala, Mkapa katawala Kikwete katawala. Wote hawa hakuna damu iliyomwagika ila kipindi cha Mkapa Zanzibar na mwembe yanga.

Tujiulize tatizo ni nini na limeanza wapi? Ukiniuliza nitakwambia ni vijana kupewa madaraka makubwa wanashindwa kuyatumia wanashindana na kina Diamondi. Wakati siasa inakuwa sio mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…