Nawakumbusha Tu

Nawakumbusha Tu

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,192
Wanabodi Napenda kukumbusha kuwa, mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo utakaotumika hadi pasaka. Ahsanteni
 
Mkuu bado una mshahara? Kwa makato haya!
10%(Pension) + (98100+30%(my Gross Salary-720000))PAYE + 15%(HESLB)+ 520000(Bank mkopo)
Hapo unabaki na nini? Sijaweka kodi ya nyumba, kama uko tuico, michango ya harusi japo si lazima, ada kama una watoto wako kule st nini, afu uwe mzee wa tungi, kudadeki lazima ukae
 
Back
Top Bottom