Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,970
Jaman eehee,
leo jumapili ndo siku ya kufanya maandalizi ya kesho jumatatu sio muda wa kuzungukaa mji mzima,
Basi jaman mkumbukeni kufuaa vijupi na visidiria kwa wanawake wennzangu na wale wavaa tight mzifue zitakate na mziniake njee kwenye juaa kali sio mnaanikaa vyumbani mtakuja kuumwa fangasi jaman! Hii ni kwa mashostito
Kwa wanaume jaman jaman mkumbuke kufuaa maboxer yenu,socks (hapa ndo mtihani)na mjitahidi kuwa na socks zaidi ya pea 3/5sio mbaya bilaa kusahau vest zenu na piaa usafi wa mwili kwa ujumlaa hapa sana sana kwa mabachela
Na wanawake wenzangu mliopo kwenye ndoa jitahidini basi leo muwafulie waume zenu na kuwaandaliaa nguo na kila kitu cha kesho akiwa anaenda kazini ili kesho kusiwepo na purukushani mara socks zipo wap,mara boxer ulianika wapi?bt cha msingi ni kumwandaaa MWANAUME KAMA MTOTO anataka alelewe so jitahidini jaman kuwaogesha wakaogesheka wanaume zenu,Usimwache mumeo akaenda kazini bila kumpigiaa viatu kiwi aiseee ni aibu kwako so wapenzi na leo mdo siku za maadalizi ya kilaa kitu kwa ajili ya kesho ..............!!!sio mwanamke ukimaliza kupikaa kiguu na njiaa kwa jirani kupiga sogaa haipendezi!!
Mnaweza kuongeza mengine na maneno yangi sio sheriaa!!!