Nawakumbusha Tu

samael23

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
327
Reaction score
434
Ukihonga shilingi 10,000
Ni bei ya.......
1. Sato kilo 1
2. Kuku 1 wa nyama
3. Kilo 1.5 za nyama ya ng'ombe
4. Sukari kilo 3
5. Donna kilo 6
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Safari 4
10. Petrol lita 4.5
11. Nauli ya safari 14 za mwendokasi
12. Mayai kisasa tray 1
13. Umeme unit 28
14. Mchemsho wa kuku 2
15. Nauli ya Dar Moro na chenji
16.
17.
 
Shilingi ya Kenya au ya wapi? Kama ni ya Tanzania mbona utakuwa unatania! Unahonga hiyo hela halafu anapokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…