Nawakumbusha vijana wa kiume fursa(bigger opportunity) ya kujipatia kipato

Nawakumbusha vijana wa kiume fursa(bigger opportunity) ya kujipatia kipato

Nifanye Nini

Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
61
Reaction score
147
Katika ulimwengu huu Kuna vitu ambavyo vinarun Dunia miongoni mwa hivyo vitu ni pesa na mapenzi.

Hivi vitu Kwa Kila kiumbe chenye uhai atajihusisha navyo aidha anataka au Hataki. Ukweli ni Kuwa maisha bila pesa hayaendi as you know sharing is caring Leo hii Mimi Nifanye Nini Nakupa tips kijana wa kiume jinsi ya kapata pesa and the same time uwe unaenjoy namna unavyopata pesa.

Let's start hii idea sio new sana hapa Tz but Bado vijana hawajachangamkia fursa. Wanawake wengi wamekuwa wako bize katika ujenzi wa Taifa na so far wameanza kuwa well in terms of financial the only problem wamekuwa not satisfied linapokuja suala la kupelekewa moto na kumeet sexual fantasy zao.

Kama kijana hii ni fursa ambayo unaweza kudeal nayo then you will thank me later. Unachotakiwa ni kufanya katika standard ya professionalism. Let's share some basic tips ambazo zitafanya uwe successful

First. Lazima ujue wanawake wanavutiwa na Nini Kwa mwanaume linapokuja suala la kupelekewa moto. Ni muhimu kutengeneza look yako Kwa gharama yoyote Ile kiasi kwamba ukipita lazima mwanamke ageuke kukuangalia (sexy body) gym lazima ikuhusu, mitupio ni kitu muhimu bila kusahau hairstyle.

Second. Tafuta Madada poa wenye mionekano decent na camera man anayejua kazi yake awarekodi ukiwa unawafanyia body to body massage hao dada poa mkishamaliza video ieditiwe na iwe Ina hadhi ya world class.

Third. Tafuta graphics design akutengenezee Brand name na bila kusahau kufanya photoshoots zenye kuvutia.

Fourth. Anza kupost Kwa kuwalipa maadmin wa groups zenye members wengi wa jinsia ke usisahau taarifa muhimu kama jinsi ya kukupata na Nini watarajie kutoka kwao. Biashara ni matangazo

Fifth. Ukifanikiwa kupata wateja hakikisha unawahudumia vizuri ila wakakutangazia biashara huko waendako.
 
Dah...
Mi nimesoma Thread kwa nguvuu mnoo nikijuaa kuna Contents za msingi...
Kumbe mwanaume ulegee ule dem na upate pesa...
Ukisikia mtoto wa kiume umebakwa ghafla paap ndo hiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Da... Ngoja ninyamaze
 
Sasa yameanza kutimia. Na haya ndio matokeo ya haki sawa. Watoto wa kiume mnaanza kutafuta wanawake wawapatie kipato cha kuweza kumudu maisha [emoji23]

Laanatul kabisa. Kwahiyo wewe mtoto wa kiume uache kukaza korodani utafute maisha kiuhalali unaaza kuwaza namna ya kulala na wanawake ili kujipatia kipato?

Hujui kama chakula mwaka huu kimepungua kutokana na vijana wengi wa kiume kutoshiriki kilimo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo wengi aseee duuh, 😅😅
 
Back
Top Bottom