johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Binafsi sioni sababu ya Chadema kusitasita kumtangaza Mgombea Urais wa JMT 2025 kwa ticket yao
CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
ACT Wazalendo wameshatangaza atagombea Zitto Kabwe
Chadema hawajatangaza ila Tundu Antipas Lisu amejitangaza yeye mwenyewe
Ni hilo tu
Ahsanteni 😂😄