johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Siasa ni Kilimo lilikuwa ni Azimio la IringaMbona mlikuwa mkisema "Siasa ni Kilimo" ni lini tena mmekuja na "Siasa ni fitina" slogan??!😆
Kwa sasa Dunia ni Kijiji Ndio sababu Mtu anaweza Kuishi Ubelgiji lakini akagombea Urais Burundi 😃