johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe una kwenu na una wenu sasa mbona kila kukicha upo madirishani kwa watu kuchungulia kunaendelea nini???CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
Mbona unapenda kufitinisha Watu?!Chadema hawajatangaza ila Tundu Antipas Lisu amejitangaza yeye mwenyewe
Mpende Jirani Yako kama unavyojipenda πKumbe una kwenu na una wenu sasa mbona kila kukicha upo madirishani kwa watu kuchungulia kunaendelea nini???
UWT hawana akiliKumbe una kwenu na una wenu sasa mbona kila kukicha upo madirishani kwa watu kuchungulia kunaendelea nini???
Akiletwa Dr Kigwangalla huko Ufipa st msije kutupigia kelele hapa Jf πCCM kaeni kimya
Tatizo wewe umekaa kama jirani mbea, unataka kufukunyua mpaka ya vyumbani ili ukatangaze nje.Mpende Jirani Yako kama unavyojipenda π
Fitna Ndio Siasa πΌMbona unapenda kufitinisha Watu?!
Atafaa sanaHopefully, Luhaga Mpina is in the frying pan of chadema
Chadema wampokee Kigwangallah atawavusha sababu anakubalika sanaAtafaa sana
Binafsi sioni sababu ya Chadema kusitasita kumtangaza Mgombea Urais wa JMT 2025 kwa ticket yao
CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
ACT Wazalendo wameshatangaza atagombea Zitto Kabwe
Chadema hawajatangaza ila Tundu Antipas Lisu amejitangaza yeye mwenyewe
Ni hilo tu
Ahsanteni ππ
Mtanishukuru baadae πIla pilipili usizozila zinakuwasha kweri kweri.
Upo usalama kweli hapo?
Mbona mlikuwa mkisema "Siasa ni Kilimo" ni lini tena mmekuja na "Siasa ni fitina" slogan??!πFitna Ndio Siasa πΌ
Vyama vya upinzani kama vina nia ya kuleta mabadiliko ya dhati having haja ya kusimamisha wagombea uraisi zaidi vijikite kwenye kuwania viti vingi kwenye majimbo.