Nawakumbusha Wafuasi wa Tundu Lissu 2015 Mbowe alimleta Lowassa na 2020 akamleta Nyalandu, hatujui 2025 atamleta nani kutoka CCM!

Inakuhusu nini mkuu
 
.
 

Attachments

  • 20240728_175535.jpg
    64.6 KB · Views: 2
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Halafu Yesu alipofufuka akaagiza " Waambieni Wanafunzi wangu PAMOJA na Petro tukutane Galilaya" πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Ndiyo maana hatupaswi kuwa na maadui wala marafiki wa kudumu nali agenda .

Izingatiwe kutereza si kuanguka.
 
Watakuleta ww bila shaka unafaa kuwa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…