Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

Nawakumbusha Wana Yanga na wale wote msioipenda Simba

Pale mnaposema Simba this time anaingia kwenye plays off hivo anaweza kutoka kwenye quorter final msijiweke kwenye asilimia 100 kwani hata kabla ya makundi tulicheza plays off na mbabane bila kuisahau team ngumu kabisa Nkana Fc

Nawakumbusha hii hatua tuliofikia kila mwana simba anaifurahia na inatosha kabisa kujivunia hivo hata tukiishia hapa ni sawa jambo tuna uchu wa kuvuka na kwa jinsi team yetu ilivyo hata nyie mnajua tunaweza kuvuka

Nawakumbusha simba ina confidence hasa baada ya kupata matokeo kwa team ngumu Africa...Al ahly...Saoura...As Vita

Pia kabla ya mechi yetu simba ni team pekee group D iliyochukua point 3 kwa saoura hata VITA CLUB hio kazi iliwashinda kule Congo

Nawakumbusha badae droo ya robo fainali inapangwa na hakuna team tunaiogopa kati za mazembe...esperance na hao wydad ila tunawaheshimu...na hii hata mngekua nyinyi vyura msingepaswa kuogopa hii hatua kwan bila shaka mngekua mmevuka kila aina ya majungu na fitina kama mlizotufanyia tangu mechi na mbabane

Nawakumbusha tarehe 24 ni mechi ya Taifa Stars na Uganda sio Simba Fc msije mkajisahau mkashangilia Uganda

Nawakumbusha mashabiki na wanachama wenu kuchangia team yenu kwan kwa msaada tuliowapatia hata mkiwa wa pili mtacheza champions league mwakani hivo kama mtanzania nawaombea zoezi lenu lifanikiwe ili msilitie aibu taifa hio mwakani

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeiona hii mtani? Shadeeya:


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba ndiyo klabu pekee Tz yenye wachezaji wenye viwango vya kucheza na kutoa ushindani kwa vilabu vikubwa nje ya Tz kwenye michuano mikubwa kwa sasa.
Yanga walikuwa wanawaza wachukue Ubingwa wapande ndege tu,kombe lao LA Africa ni kupanda ndege na kujiita wa kimataifa,hawakuwa wanawaza kingine chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom