Nawakumbusha wanachuo wenzangu wa mwaka wa kwanza mambo muhimu kuwa nayo unaporipoti chuoni

kiutaratibu Ada ya mtu mzima ni kama 2000/= na tym haiwezi zidi wiki lakin mkuu unajua hii ndo BONGO hata 20,000/= utatoa.. ukubwa wa hela yako ndo uta refusha/ punguza tym ya kukipata

aende na nini ili wamuhudumie? Lakini si kubadilisha tu kwanini wamtoze elfu 20
 
tunaporipot chuoni lazima tuwe na vitu kama vile
1:chet cha kuzaliwa org
2:cheti cha form 4 org
3😛assport size
4:kitambulisho chochote mf: bank,kupiga kula au leseni
5:result slip ya form 6 org
Kama mtu mwenye la kuongezea karibu;
sahani,kijiko,bakuli,taulo,shuka nyeupe,jembe na panga ni muhimu kwa tuliochaguliwa kusomea cheti chuo cha kilimo pande za Mbalizi pale
 
jamani mi sina cheti cha form four kilipata ajali ya moto kwa bahati mbaya vipi hapo watanikubalia?
 
Ohoooo....hata mimi majina yamekuwa tofauti....itafahamika tu
 
Je, ulitoa taarifa sehemu husika(necta) na ukapewa statement of results.

yeah! necta nilienda kufuatilia wakati nataka kuomba helsb, so wakatuma statement of result helsb, sasa chuo tena inabidi niende tena necta nikaombe statement but wanaboa hawatoi mkononi yani kila nikikihitaji lazma niende necta af unalipia maform yao so nahisi itakuwa usumbufu! yani namlaumu aliyechoma vyeti aisee!
 
pia kuna member 1 wa jf kani PM kasema hivi yeye cheti chake cha kuzaliwa na cha four 4 kimetofautiana kwenye jina kama herufi mbili je watamkubalia kumsajili nawasilisha!

..........
Itakuwa ngumu kuanzaia board kwenyewe ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…