Nawakumbusha wanachuo wenzangu wa mwaka wa kwanza mambo muhimu kuwa nayo unaporipoti chuoni

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
tunaporipot chuoni lazima tuwe na vitu kama vile
1:chet cha kuzaliwa org
2:cheti cha form 4 org
3😛assport size
4:kitambulisho chochote mf: bank,kupiga kula au leseni
5:result slip ya form 6 org
Kama mtu mwenye la kuongezea karibu;
 
thumb up...!
 
hitakuwa kwa ajiri ya wale waliopitia dip
Basi kama ni hivyo, ongeza na vitu vifuatavyo kwa wale wa Equivalent: -
1. Barua kutoka kwa mwajiri inayothibitisha kupewa ruhusa ya kujiunga na masomo ya chuo kikuu.
2. Vyeti original vilivyokuwezesha kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu (cert & Diploma), hapa ni pamoja na transcript zake.
 
pia kuna member 1 wa jf kani PM kasema hivi yeye cheti chake cha kuzaliwa na cha four 4 kimetofautiana kwenye jina kama herufi mbili je watamkubalia kumsajili nawasilisha!
 
hahaha umetisha mate, kumbe umesomea jina sio la kwako!
 
pia kuna member 1 wa jf kani PM kasema hivi yeye cheti chake cha kuzaliwa na cha four 4 kimetofautiana kwenye jina kama herufi mbili je watamkubalia kumsajili nawasilisha!

We sema ni wewe.
 
tunaporipot chuoni lazima tuwe na vitu kama vile
1:chet cha kuzaliwa org
2:cheti cha form 4 org
3😛assport size
4:kitambulisho chochote mf: bank,kupiga kula au leseni
5:result slip ya form 6 org
Kama mtu mwenye la kuongezea karibu;
asante kwa kutufahamisha,..!!
 
pia kuna member 1 wa jf kani PM kasema hivi yeye cheti chake cha kuzaliwa na cha four 4 kimetofautiana kwenye jina kama herufi mbili je watamkubalia kumsajili nawasilisha!

Mwambie aende pale alipojiandikishia warekebishe hizo herufi 2.
 
pia kuna member 1 wa jf kani PM kasema hivi yeye cheti chake cha kuzaliwa na cha four 4 kimetofautiana kwenye jina kama herufi mbili je watamkubalia kumsajili nawasilisha!
OIL SUMU huwa unanifurahisha sana mkuu ,,yaani umeshindwa tu kusema kwamba ni wewe unamsingizia mtu ambae hayupo, kma yupo kwa nn asiwe kitu sebureni mpaka akufate huko chumbani!!! anyway simply hutakubaliwa!! nenda mahakamani o kwa commissioner for oath kuna kitu utakuta kinaitwa DEED POLL Utaijaza ukiapa kwamba unasitisha matumizi ya jina lako la zamani, na kwamba utatumia jina lako jipya kila wakati na UTAWAKA NDUGU, RAFIKI NA JAMAA kukuaddres kwa kutumia jina lako jipya (INCLUDING ALL THE DOCUMENTS). Reason inaweza kuwa baada ya kuolewa unataka kuotumia/kuongeza jina la mume wako au umebadili dini(unataka kutumia/kuongeza jina jipya la dini) na 7bu ngingne nyingi (ILA SIO UMEFANYA UHARIFU/UTAPELI NDO UNAKWEPA KUKAMATWA)...lazima uwe na shahidi kma we ni mtoto nenda na mzaz....kweli we ni sumu
 
yeye anataka kwenda kutengeneza kingne tatizo lipo kwenye herufi mf kwenye cheti cha kuzaliwa kimeandkwa LUKASI LAKIN CHETI CHA 4M 4 KIMEANDKWA LUCAS
 
kama hivyo tu nenda RITA(msajili wa vizazi na vifo) watabadilisha
 
ok! Je inaweza kuchukua muda gan! Na kiasi chake n ngapi au ni sawa na kutengeneza kipya
kiutaratibu Ada ya mtu mzima ni kama 2000/= na tym haiwezi zidi wiki lakin mkuu unajua hii ndo BONGO hata 20,000/= utatoa.. ukubwa wa hela yako ndo uta refusha/ punguza tym ya kukipata
 
Back
Top Bottom