Nawakumbusha WANAUME WENZANGU kua nivigumu KULETA UCHUMI NA UROMANTIC kwa pamoja ndani ya NDOA

Nawakumbusha WANAUME WENZANGU kua nivigumu KULETA UCHUMI NA UROMANTIC kwa pamoja ndani ya NDOA

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Ukitafuta sana uchumi au kipato cha family au ndoa lazima upande wa NDOA HASA ROMANTIC NA UPENDO utayumba hapa sasa ndio tunapoona MAKAPUKU WAKIJA KUTUSAIDI KWENYE MAPENZI NA UPENDO KWA WAPENZI WETU (Kila kitu kikizidi ni sumu)
 
Shida ya wanawake wanataka pesa na muda wa mtoa pesa hapo haiwezekani kwasababu mwenye pesa hana muda na mwenye muda hana pesa na hata wale waliotega mitego ya pesa zinazokuja zenyewe bado muda wao upo kwenye kulinda mifumo na mitego ya pesa zao

Kila mtu atoe alicho nacho mkuu, tusichoshane 😀
 
Niliachwa kisa naambiwa sijui kubembeleza vizuri na maneno mazuri😭😭😭
 
Ukitafuta sana uchumi au kipato cha family au ndoa lazima upande wa NDOA HASA ROMANTIC NA UPENDO utayumba hapa sasa ndio tunapoona MAKAPUKU WAKIJA KUTUSAIDI KWENYE MAPENZI NA UPENDO KWA WAPENZI WETU (Kila kitu kikizidi ni sumu)
Sema nimeku appreciate na hiyo avator yako! kweli mkuu mimi na shemeji yenu humu ndani kila mtu yuko bize yeye anapiga mziki nilishamnunulia lisipika kubwa sina time nae huku mimi na notebook yangu nikijikumbusha madeni nayodai na kudaiwa!
 
Utasaidiwa kazi tu..Unataka uichape peke yako ? Tukipata wasaa huyo mkeo hata chooni atainamishwa
 
Kwa namna hii mauaji hayawezi kuisha kwasababu usipofanya jambo moja nyumba lazima ifuke moshi kwa mane ya fedheha,kebehi au uchochezi
Binafsi nina watoto wawili,sitaki tena watoto wala mke,napenda natarajia kutengana ili niishi mwenyewe,niwe naokota zigo nadunda namlipa aende zake,hii itaepusha unnecesary problem,wife akae kwake na mimi kwangu just for safety!
 
Back
Top Bottom