ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
La kufa nyie mnao ishia njiani kila mwakaUtopolo ni sikio la kufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La kufa nyie mnao ishia njiani kila mwakaUtopolo ni sikio la kufa
La kufa nyie mnao ishia njiani kila mwaka
Usilinganishe timu inayocheza ligi ya mabingwa na shirikisho. Utakuwa taahira. Simba ameishia robo fainali anapata dollar laki 9. Wewe unacheza fainali unapata dollar milioni moja..! Hivi huoni hiyo tofauti au shule ulienda kusomea ujinga!? Kuthibitisha wewe hina timu nzuri, ulitolewa round ya kwanza tu ya ligi ya mabingwa. Simba aliendelea kwenye hayo mashindano na kufika robo fainali..bado tu huoni tofauti ya Simba na wewe uto!?. Kule ulaya ambako ndiyo tume-copy haya mashindano..waliofika fainali ya shirikisho ni As Roma na Sevilla. Hata siyo issue..na ili kuonyesha Yale mashindano ni madogo bingwa wa Europa league anapata ticket ya kushiriki ligi ya mabingwa ulaya..usifananishe ligi ya mabingwa na huo ujinga!!La kufa nyie mnao ishia njiani kila mwaka
angalia usijinyee kitandani mnama... Ndoto yako inatisha mno.Na hii mechi na Yanga ndio sasa atafungwa nyumbani.
Baada ya kuliona ikawaje?Simba AMECHEZA Fainali 1993 na kombe tukaliona.
Hiyo Fainali mbovu ya Luza haikuwa hata na kombe.
Kombe la caf limekuja bongo mara ya mwisho 1993.
Wewe ndio tahira leta jumla ya pesa aliyo pata Yanga na Simba na hilo kombe unalo lidharau mwaka jana umecheza ulipata nini?Usilinganishe timu inayocheza ligi ya mabingwa na shirikisho. Utakuwa taahira. Simba ameishia robo fainali anapata dollar laki 9. Wewe unacheza fainali unapata dollar milioni moja..! Hivi huoni hiyo tofauti au shule ulienda kusomea ujinga!? Kuthibitisha wewe hina timu nzuri, ulitolewa round ya kwanza tu ya ligi ya mabingwa. Simba aliendelea kwenye hayo mashindano na kufika robo fainali..bado tu huoni tofauti ya Simba na wewe uto!?. Kule ulaya ambako ndiyo tume-copy haya mashindano..waliofika fainali ya shirikisho ni As Roma na Sevilla. Hata siyo issue..na ili kuonyesha Yale mashindano ni madogo bingwa wa Europa league anapata ticket ya kushiriki ligi ya mabingwa ulaya..usifananishe ligi ya mabingwa na huo ujinga!!
Wewe unatekenywa?
[/QUOTE)!!!
Hahaha wakae kwa kutulia huku wakisubiri kukandwa tenaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kwangu full burudaaaniii.
Wala sijali roroseeeeeee
Ndo maana akee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha wakae kwa kutulia huku wakisubiri kukandwa tenaa
Sawa sawa coca***Ndo maana akee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji482]Sawa sawa coca***
Hahahahaa nakubaliii[emoji482]
Usilinganishe timu inayocheza ligi ya mabingwa na shirikisho. Utakuwa taahira. Simba ameishia robo fainali anapata dollar laki 9. Wewe unacheza fainali unapata dollar milioni moja..! Hivi huoni hiyo tofauti au shule ulienda kusomea ujinga!? Kuthibitisha wewe hina timu nzuri, ulitolewa round ya kwanza tu ya ligi ya mabingwa. Simba aliendelea kwenye hayo mashindano na kufika robo fainali..bado tu huoni tofauti ya Simba na wewe uto!?. Kule ulaya ambako ndiyo tume-copy haya mashindano..waliofika fainali ya shirikisho ni As Roma na Sevilla. Hata siyo issue..na ili kuonyesha Yale mashindano ni madogo bingwa wa Europa league anapata ticket ya kushiriki ligi ya mabingwa ulaya..usifananishe ligi ya mabingwa na huo ujinga!!