Nawakumbusha Yanga kuhusu wapinzani wao USM Alger na Mechi zao za nyumbani

Sijazoea kutumia Lugha za Ajabu kwenye mpira ambalo ni Fair pray.

KWANINI KOMBE LA CAF LISIJE KWA FAINALIST NA TUKALIONA????????

SIJAWAHI KUONA FAINALI BILA KOMBE.
 
La kufa nyie mnao ishia njiani kila mwaka
Usilinganishe timu inayocheza ligi ya mabingwa na shirikisho. Utakuwa taahira. Simba ameishia robo fainali anapata dollar laki 9. Wewe unacheza fainali unapata dollar milioni moja..! Hivi huoni hiyo tofauti au shule ulienda kusomea ujinga!? Kuthibitisha wewe hina timu nzuri, ulitolewa round ya kwanza tu ya ligi ya mabingwa. Simba aliendelea kwenye hayo mashindano na kufika robo fainali..bado tu huoni tofauti ya Simba na wewe uto!?. Kule ulaya ambako ndiyo tume-copy haya mashindano..waliofika fainali ya shirikisho ni As Roma na Sevilla. Hata siyo issue..na ili kuonyesha Yale mashindano ni madogo bingwa wa Europa league anapata ticket ya kushiriki ligi ya mabingwa ulaya..usifananishe ligi ya mabingwa na huo ujinga!!
 
Wewe ndio tahira leta jumla ya pesa aliyo pata Yanga na Simba na hilo kombe unalo lidharau mwaka jana umecheza ulipata nini?
 


Umewapigia kwenye mshono mkuu.

JUZI walikandwa na SUMA JKT
Kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…